pmbet

Sancho arejea rasmi Dortmund

Sisti Herman

January 11, 2024
Share :

Klabu ya Borussia Dortmund imemrejesha kwao kiungo mshambuliaji wa Man Utd Jadon Sancho mwenye umri wa miaka 23 kwa mkopo hadi mwisho wa msimu.

 

Mwingereza huyo ambaye kwa sasa yuko Manchester United, amesaini mkataba wa mkopo hadi Juni 30, 2024.

 

Mchezaji huyo raia wa Uingereza alicheza jumla ya michezo 137 na kufunga mabao 50 na asisti 64 akiwa na Borussia Dortmund kati ya 2017 na 2021.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet