pmbet

Santos wa Brazil atambulishwa rasmi Man United

Sisti Herman

July 13, 2026
Share :

 

Klabu ya Manchester United imetambulisha rasmi kiungo wa kati raia wa Brazil Andrey Snatos kutokea Chelsea.

Kiungo huyo alikuwa mmoja ya wachezaji waliochwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Brazil kushiriki kombe la dunia 2026 akiwa Joao Pedro.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet