pmbet

Selemani Mwalimu arejea Dar es Salaam uelekeo ni Morocco.

Joyce Shedrack

July 29, 2026
Share :

Mshambuliaji Seleman Mwalimu ameripotiwa kuondoka kwenye kambi ya klabu ya Simba iliyopo Kigali Rwanda na kurejea Jijini Dar es Salaam.

Mwalimu afichua ugumu wa kutua Simba | Mwananchi

Taarifa zinasema Mwalimu yupo Dar es Salaam akifanya utaratibu wa kuanza safari ya kuelekea Morocco kwa ajili ya kwenda kuanza maandalizi ya msimu baada ya kocha mpya wa Wydad Paulo Sergio kuhitaji kuwaona wachezaji wote kabla ya kufanya maamuzi ya kuwaacha na kuwatoa kwa mkopo baadhi yao.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet