Senegal kufungua mashtaka ya rushwa kisa kombe la AFCON 2025.
Joyce Shedrack
March 26, 2026
Share :
Senegal wamethibitisha kuwa watafungua mashtaka ya rushwa dhidi ya watu watano wa CAF huku uchunguzi ukiendelea kushika kasi kufuatia maamuzi ya Kamati ya Nidhamu ya CAF kuipa ushindi wa AFCON Morocco.

Wakili wa Shirikisho la Soka la Senegal, Seidou Diagne, amesema kwamba:
• Uamuzi wa rufaa wa CAF HAUSEMII kuwa taji lazima lichukuliwe.
• Pia HAUTAKI medali zirudishwe.
• Hivyo basi, Senegal hawalazimiki kisheria kurudisha kombe hilo.





