Senne Lammens ndiye golikipa namba moja wa Man United kwa sasa
Eric Buyanza
August 14, 2026
Share :
Senne Lammens ndiye kipa namba moja wa Manchester United kwa sasa.
Klabu ya Manchester United imethibitisha rasmi kuwa kipa huyo raia wa Ubelgiji amekabidhiwa jezi namba 1 kwa ajili ya msimu mpya wa ligi wa 2026/2027.
Hatua hii inakuja baada ya kuondoka kwa kipa Altay Bayındır aliyekwenda Celta Vigo kwa mkopo.






