pmbet

Serengeti Boys kucheza dhidi ya Algeria nusu fainali ya AFCON U17

Sisti Herman

May 21, 2026
Share :

 

Baada kileleni mwa kundi C lililokuwa na timu za Mali, Msumbiji na Angola ikiwa na alama 6 baada ya kushinda mechi 2 na kupoteza mara moja timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Tanzania (Serengeti Boys) imepangwa kucheza na dhidi ya Algeria kwenye hatua ya mtoano ya robo fainali.

Serengeti Boys pia wamefuzu kucheza kombe la dunia kwa vijana chini ya miaka 17.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet