pmbet

Serengeti Boys yafuzu AFCON U17 2025

Sisti Herman

November 30, 2025
Share :

 

Timu ya Taifa ya vijana ya Tanzania 'Serengeti Boys' leo imeshinda 3-1 Kenya kwenye mchezo wa nusu fainali ya kuwania kucheza michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika 'AFCON u17' kwa ukanda wa CECAFA na kufuzu rasmi kucheza AFCON U17.

Baada ya ushindi wa goli 6-0 dhidi ya Sudan na ule wa 11-0 dhidi ya Djibouti, ule wa 1-0 dhidi ya Uganda, na ushindi wa 5-0 dhidi ya Burundi kwenye michezo minne ya hatua ya makundi, Serengeti Boys iliyomaliza kinara wa kundi leo imeingia hatua ya fainali na kujihakikishia tiketi ya kufuzu rasmi AFCON U17.

Mchezo huo umechezwa kuanzia saa 7 kamili mchana huko Nchini Ethiopia.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet