pmbet

Serengeti boys yaipasua chuma 5 Australia.

Joyce Shedrack

July 11, 2026
Share :

Timu ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 17 @serengetiboystz imetembeza kichapo Nchini China kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Australia kwa mabao 5-3.

Magoli ya Serengeti boys yamefungwa na Hamisi Chenga mabao 2,Sadam Hussein mabao mawili na Razaki Mbengelendi.

Serengeti boys inaendelea kugawa dozi kwenye mechi hizo za Kimataifa za kirafiki zinazoendelea Nchini China baada ya kuzifunga China 2-0,Nigeria 3-2 na leo Australia 5-3.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet