pmbet

Serengeti yakwea pipa kuelekea Misri kujiandaa na AFCON

Sisti Herman

March 12, 2026
Share :

 

Timu ya Taifa ya wavulana chini ya miaka 17 ya Tanzania @serengetiboystz leo imasafiri kuelekea nchini Misri kujiandaa na fainali za kombe la mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa umri huo AFCON U17 2026 itakayoanza rasmi April 15 nchini Morocco.

Tanzania itawakilisha ukanda wa CECAFA kwenye michuano hiyo kwasababu imetwaa Ubingwa wa CECAFA na kufuzu kucheza michuano hiyo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet