pmbet

Serikali ya Tanzania yatoa sababu za kuudhibiti X

Sisti Herman

June 4, 2025
Share :

Serikali ya Tanania kupitia Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry Silaa imetoa sababu za kuudhibiti mtandao wa kijamii wa X (Tweeter).
 


"Mwaka 2023 wakati Twitter imenunuliwa ikawa X, yako mambo yalianza kufanyika, mwezi Mei 2024. X wakabadilisha sera yao ya maudhui ambayo inaenda kinyume na kifungu cha 16 cha Kanuni ya Maadili ya Maudhui ya Mtandaoni […] Kila kinachofanyika kinafanyika kumlinda Mtanzania, kwahiyo kama umeona kuna baadhi ya mitandao, si lazima uwe X, hata YouTube, kuna kitu unatafuta hukipati ujue ni kazi inayofanywa na Serikali kuhakikisha inamlinda mlaji." alisema Jerry Silaa.

Mhe. Silaa ameyasema hayo kwenye mahojiano maalum na Charles William wa Wasafi Media.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet