pmbet

Serikali yampa mkataba wa kudumu Miguel Gamondi.

Joyce Shedrack

February 9, 2026
Share :

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda ameweka wazi kuwa Serikali imempitisha Kocha Miguel Gamondi kuwa Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kutokana na uwezo wake aliouonyesha kwenye michuano ya AFCON 2025 iliyofanyika Nchini Morocco. 
Taifa Stars begin new era under Gamondi with Kuwait friendly – The BizLens
"Kuhusu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kazi imebaki upande wa Miguel Gamondi mwenyewe kupitia mkataba tuliompa ili tusaini nae mkataba, Serikali na shirikisho la soka TFF tumeamua kubaki na Miguel Gamondi na malipo yote ya Kocha Gamondi yatasimamiwa na Rais Samia Suluhu Hassan." Amesema Mhe.Makonda.

 

Ikumbukwe, Miguel Gamondi alipewa nafasi ya kukaimu nafasi ya kukinoa kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania mara baada ya kuachana na aliyekuwa kocha Mkuu Hemed Suleiman Morocco.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet