pmbet

Shakira ayapiga chini mahusiano.

Sisti Herman

June 16, 2024
Share :

Mwanamuziki wa Colombia mwanadada Shakira ameweka wazi kuwa hayupo tayari kuingia kwenye mahusiano rasmi badala yake anatamani kuwa na mtu wa kawaida.

Shakira amefunguka hayo kupitia mahijiano yake na RollingStone na kueleza kwamba hayupo tayari kuingia kwenye mahusiano kwa sababu ya ustawi wa watoto wake.

“Mateso niliyopitia yalikuwa makubwa zaidi ambayo sijawahi kupata katika maisha yangu yote, na yalinizuia kufanya kazi wakati mwingine. nilihisi kama mtu alikuwa amenichoma tundu kwenye kifua changu” Shakira.

Msanii huyo aliachana na aliyekuwa mume wake mwanasoka wa zamani Gerard Pique mwaka 2022 baada ya kudumu kwa miaka 11 huku wakifanikiwa kupata watoto wawili.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet