pmbet

Shomari Kapombe ateuliwa na CAF kuwania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika.

Joyce Shedrack

October 22, 2025
Share :

Nahodha wa wekundu wa msimbazi Simba Shomari Kapombe amechaguliwa na CAF kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume Afrika ngazi ya klabu kwa mwaka 2025.

Wachezaji wengine waliopo kwenye orodha hiyo wanaoshindania tuzo hiyo na Kapombe ni pamoja na Fiston Mayele wa Pyramids,Blati Touré 
Issoufou Dayo ,Ibrahim Adel,Ismaïl Belkacemi ,Emam Ashour ,Mohamed Chibi  na Oussama Lamlioui. 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet