Show ya Baba Levo yamwibua Rais Samia
Joyce Shedrack
April 17, 2024
Share :
Mwanamuziki Baba Levo alivyompandishwa kwa Mbwembwe jukwaani Waziri wa Maji na Mbunge wa Pangani Mheshimiwa Juma Aweso na kumwombea Rais Samia kwenye tamasha la Mkesha wa Mwenge wa Uhuru Viwanja vya Sakura, Pangani.
Fuatilia zaidi kwenye video hapo chini.