Show ya Mbosso aliyofanya Pangani Tanga yageuka gumzo
Joyce Shedrack
April 17, 2024
Share :
Mwanamuziki Mbosso jana aliwashangaza wengi kwa ubunifu alioufanya wa kupanda jukwaani akimbeba msanii aliyevaa uhusika wa Selemani kwenye video ya wimbo wa ‘sele’ kwenye Mkesha wa Mwenge wa Uhuru Viwanja vya Sakura, Pangani Tanga.
Fuatia zaidi kwenye video hapo chini.