Shumpert kumuachia mke pesa, nyumba zote kisa talaka
Sisti Herman
December 18, 2025
Share :

Mamlaka za kisheria nchini Marekani zimeamuru nyota wa mchezo wa mpira wa kikapu Iman Shumpet kumpa mke wake Teyana Taylor mali na pesa zenye thamani ya $25 Million (zaidi ya Tsh bil. 65) baada ya kuachana na mke wake.
Mke atachukua Pesa taslim, nyumba nne, magari kadhaa ya kifahari na bado Ishumpet' atatakiwa kulipa fedha za matunzo ya Watoto.
Mke atabaki na mali zake zote bila kuguswa na biashara zake zote wakati Iman atabakia na $ 2 Million (sawa na Tsh bil. 5) ila hatakua na nyumba ya kuishi kwani Mke atachukua nyumba zote walizokua nazo.





