'Si kila sababu za kukatika kwa umeme zina mashiko' - Makonda
Eric Buyanza
December 22, 2023
Share :
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amewataka TANESCO kujitafakari kutokana na kukatika kwa umeme kunakoendelea.
Akiongea kwa msisitizo jana mbele ya wanahabari jijini Dsm, Makonda amesema si kila sababu wanazozitoa Tanesco kuhusu kukatika kwa umeme zina mashiko....kwani nyingine ni uzembe.