"Sidhani kama nitakuja kupenda tena" - Shakira
Eric Buyanza
March 25, 2024
Share :
Msanii wa muziki wa pop kutoka Colombia, Shakira ameonesha mashaka yake ya kama ataweza kuja kupenda mwanaume mwingine tena, kufuatia kutengana na mwanasoka wa zamani wa Barcelona, Gerard Pique.
Baada ya miaka 11 ya kuishi pamoja, wanandoa hao walitangaza kutengana Juni,2022 baada ya Shakira kubaini usaliti aliokuwa akifanyiwa na Pique.
Akizungumza kwa hisia wakati wa mahojiano na Zane Lowe, mwanamuziki huyo anasema 'alidhani angepata upendo wa milele'.
"Nilifikiri mapenzi yangekuwa kwangu milele, na hiyo ni moja ya ndoto zangu zilizovunjika.