pmbet

Sijawahi kutumia mshahara wangu tangu nianze kazi kwa Davido

Eric Buyanza

May 4, 2026
Share :

 

Bodyguard wa Davido amefichua kuwa tangu aanze kufanya kazi na Davido hajawahi kugusa mshahara wake, na hii ni kwasababu msanii huyo humpa pesa ya ziada kabla ya mwezi kuisha ambazo zinatosha kwa matumizi yake.
 

Jamaa huyu alikuwa mwanajeshi nchini Uingereza akipata mshahara wa zaidi ya $46k kwa mwaka (sawa na shilingi milioni 120) lakini kwa sasa akiwa na Davido anapokea $100k kwa mwaka (sawa na shilingi milioni 261)...akitajwa kuwa ndiye mlinzi tajiri zaidi wa msanii Africa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet