pmbet

Siku kama ya leo mwaka 2020, Bayern iliwanyoa Barca bao 8

Eric Buyanza

August 14, 2026
Share :

Siku kama ya leo (Tarehe 14 Agosti) mwaka 2020, Bayern Munich iliushangaza ulimwengu wa soka kwa kuitandika Barcelona mabao 8️-2️ katika mchezo wa kihistoria wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League).
 

Mchezo huo ulichezwa katika uwanja wa Estádio da Luz mjini Lisbon, nchini Ureno.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet