pmbet

"Siku moja ningependa kucheza na Lamine Yamal" - Thiago Messi

Eric Buyanza

July 22, 2024
Share :

Thiago Messi ambaye ni mtoto wa nyota wa Argentina Lionel Messi, amesema siku moja ana ndoto ya kuja kucheza soka na kinda wa Hispania nayefanya vizuri sana kwasasa, Lamine Yamal.

Thiago amefichua hayo alipokuwa kwenye mahojiano na mwandishi wa habari wa Hispania, José Ramón de la Morena. 

Thiago kwa sasa anachezea klabu ya watoto wa umri chini ya miaka 12 wa klabu ya Inter Miami anayochezea Baba yake.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet