Siku ya Kiswahili duniani yafana Japan
Sisti Herman
July 8, 2025
Share :
Matukio mbalimbali katika picha wakati wa maadhimisho ya kilele cha siku ya Kiswahili duniani, tarehe 7, Julai, 2025. Maadhimisho hayo yaliyofanyika katika eneo la Yumeshima; jijini Osaka, nchini Japan, yamekuwa sehemu ya maonesho ya biashara ya dunia (Expo 2025, Japan) yanaondelea nchini Japan.
Ikumbukwe kuwa maadhimisho ya siku ya Kiswahili kikanda (Afrika Mashariki) yanafanyika nchini Rwanda na kwa Tanzania, maadhimisho hayo yanafanyika visiwani Zanzibar.