Sikumsaliti Cardi B kwa Chrisean Rock - Offset
Eric Buyanza
December 13, 2023
Share :
Rapa kutoka pande za maandishi matatu U.S.A Offset amekanusha tuhuma alizopewa mtandaoni na msanii Blueface ambaye alimtuhumu rapa huyo kutembea na mpenzi wake ambaye pia ni msanii Chrisean Rock.
Blueface kupitia mtandao wake wa kijamii wa X alimtuhumu mpenzi wa Cardi B ambaye ni Offset kutoka kimapenzi na Chrisean Rock.
Baada ya chapisho la Blueface ndipo Offset akakanusha tuhuma hizo kwa kuchapisha kupitia mtandao huohuo wa X (Twitter)