pmbet

"Sikuona Muziki Kama Kazi" Yemi Alade

Eric Buyanza

January 16, 2024
Share :

Mwanamuziki wa toka Nigeria, Yemi Alade, amesema muziki kwake sio kazi bali anaufanya kwa mapenzi (Hoby).

"Niliupenda muziki lakini sikutaka iwe kazi. Sikuiona kama taaluma. Ilikuwa ni hobby kubwa niliyowekeza sana. Lakini sio kazi.

"Kama ungeniuliza miaka 11 au 12 iliyopita kama ningependa kuwa mwanamuziki? nisingechagua hiyo kama kazi....ingawa nilikuwa katika mambo mengi yanayohusiana na muziki, niliamini tu kwamba hii ni hobby."

Kama ungeniuliza kipindi hicho kwamba naweza kuancha kila nachokifanya na kutegemea muziki pekee? ningejibu Hapana

Hata hivyo, alisema hali ilibadilika baada ya kushinda shindano la vipaji mwaka 2009 liitwalo (Peak Talent) na kisha kusainiwa na Kundi la Muziki la Effyzzie, na akaja kuvuma na wimbo wake 'Johnny' mwaka 2014.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet