"Sikupewa 'Support' kama anayopewa Ten hag" - Mourinho
Eric Buyanza
April 23, 2024
Share :
Kocha Jose Mourinho anadai alipokuwa mwalimu wa Manchester United hakupewa ushirikiano kama anaoupata Erik ten Hag hivi sasa.
Katika mahojiano na gazeti la Telegraph, Mourinho alilalamikia kutopewa usaidizi mkubwa wa kitaalamu wakati wa enzi zake, ambao anahisi kwasasa Ten Hag ananufaika nao.