Simba Day 2024 kufanyika Agosti 3
Sisti Herman
June 28, 2024
Share :
Klabu ya Simba kupitia kwa Meneja wa idara ya habari na mawasiliano wao Ahmed Ally wametangaza kuwa kilele cha siku ya Simba "Simba Day 2024" kimepangwa kufanyika tarehe 3 mwezi wa 8.
Kwa kawaida kilele cha Simba Day hufanyika tarehe 8 lakini kwasababu ya kalenda ya michuano ya shirikisho la soka barani Afrika (CAF) msimu huu wamelazimika kuwahi.