pmbet

Simba dhidi ya Al Ahly, Yanga dhidi ya Mamelod robo fainali CAF

Sisti Herman

March 12, 2024
Share :

Droo ya robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika imechezeshwa huku ikishuhudia klabu ya Simba ikipangwa kucheza na klabu ya Al Ahly huku watani zao Yanga wakikutana na klabu ya Mamelod Sundowns kutokea nchini Afrika kusini.

Michezo ya robo fainali ya kwanza inatarajiwa kufanyika tarehe 29-30 mwezi machi huku ile ya marudiano ikitarajiwa kufanyika tarehe 5-6 mwezi Aprili.

Simba na Yanga zote zitaanzia michezo yao kwenye dimba la Benjamin Mkapa na kumalizia ugenini.

Robo fainali zingine ni;

TP Mazembe vs Petro Atletico
Esperance De Tunis vs Asec Mimosas

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet