pmbet

Simba full mkoko waianza safari kuifuata Fountain Gate Arusha

Eric Buyanza

October 26, 2026
Share :

Vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara, timu ya Simba wameanza safari ya kwenda Jijini Arusha kwa ajili ya mchezo wa ligi hiyo dhidi ya Fountain Gate.

 

Simba wameianza safari hiyo wakiwa na kikosi kamili kwa ajili ya mchezo huo utakaochezwa Alhamisi kwenye Uwanja wa Kwaraa uliopo Babati, Mkoani Manyara.

 

Mchezo wa mwisho wa timu hizo uliofanyika uwanjani hapo ulimalizika kwa sare ya kufungana bao 1-1, huku bao la Simba likifungwa na nyota wao za zamani Lionel Ateba na bao la Fountain Gate akijifunga aliyekuwa kiungo wa Simba Ladack Chasambi.


 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet