pmbet

Simba hapa wamepiga Jackpot, wawaongeze pesa Singida - Oruma

Eric Buyanza

May 29, 2025
Share :

Kwenye Midfield unahitaji Viungo wa aina Mbili,Mwenye uwezo wa Kuitawala Mechi timu ikiwa na Mpira na isipokuwa nao.. Yusuph Kagoma can be both..✍️

Born to Play as Midfielder na Sometimes tunasahau Kabisa Kwamba hii ni season yake ya Kwanza team ya Ukubwa Kama Simba Sports.

Na Kuna Chumba Kikubwa cha Improvement chini ya Master tactician Fadlu Davids.

Simba Sports hapa wamepiga Jackpot na nafikiri wakawaongeze Pesa Singida ..

Na tangu Yupo Geita nilisema Yusuph Kagoma is destined and belong here ..

What a Player

Ameandika mchambuzi wa EFM @mzeewajambia 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet