pmbet

Simba huyu wa sasa hivi ni kawaida sana hawatutishi - Geita

Eric Buyanza

May 21, 2024
Share :

Msemaji wa klabu ya Geita Gold Samwel Dida amefunguka mengi kuelekea mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara dhidi ya klabu ya simba utakaopigwa leo Azam Complex Chamazi majira ya saa moja jioni.
 

Dida amesema kwa sasa klabu ya simba haiwatishi imekuwa ya kawaida sana na wapo kamili kwenda kuzisaka alama tatu muhimu. 

Full Interview hiyo hapo chini.

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet