pmbet

Simba, JKT kupigwa Mbweni, Ahmed Ally aita mashabiki

Sisti Herman

February 15, 2024
Share :

Mchezo ujao wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania FC utapigwa leo Alhamisi Februari 15, 2024 saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo.

 

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amewataka wanachama na mashabiki wa timu hiyo kuheshimu mamlaka ambazo zimeupa kibali uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kutumika kwa mechi za NBC Premier League ikiwemo ya leo kati ya JKT Tanzania dhidi ya Simba SC. Kupitia andiko lake alilolichapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram, Ahmed ameipongeza klabu ya JKT Tanzania, kwa kuwa na uwanja wake na kitendo cha uwanja huo kupewa kibali, ni jambo la kupongezwa. 
 

 

Kwenye picha ni Muonekano wa Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo lililopo Mbweni Jijini Dar es Salaam ambapo ndipo itapigwa mechi ya JKT Tanzania dhidi ya Simba SC. 
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet