Simba kucheza mechi mbili za kirafiki Afrika Kusini.
Joyce Shedrack
October 1, 2026
Share :
Klabu ya Simba imetangaza kucheza michezo miwili ya kirafiki wakiwa Nchini Afrika Kusini .

Michezo hiyo Mnyama atacheza dhidi ya timu mbili za ligi kuu Afrika Kusini ambazo ni Polokwane City na Sekhukhune United.





