Klabu ya Simba imetangaza rasmi itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Police Kenya kwenye siku ya sherehe ya Simba Day tarehe 8/8 kwenye uwanja wa Uhuru.