pmbet

Simba kufufua Matumaini ya Ubingwa kwa Namungo leo

Sisti Herman

April 30, 2024
Share :

Klabu ya Simba leo kuanzia saa 12 jioni itakuwa dimba la Majaliwa mjini Ruangwa kuvaana na klabu ya Namungo kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara. 
Simaba iliyopo nafasi ya 3 ikiwa na alama 46 inahitaji kukusanya alama zaidi ili kupambania nafasi za juu kwani licha ya kutoka kuangusha alama kwenye michezo ya ligi iliyopita bado ina nafasi ya kutwaa taji.

Namungo ambayo ina alama 26 kwenye nafasi ya 9 inahitaji kushinda mchezo huo ili kukusanya alama zitakazowaepusha kushuka daraja kwani tofauti ya alama kati yao na timu inayoshika mkia, Mtibwa Sugar ni alama tu.

Je mnyama atafufua matumaini?

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet