pmbet

"Simba kufungwa na Mashujaa ni Ajali" Mexime

Sisti Herman

April 12, 2024
Share :

Kocha mkuu wa klabu ya Singida Black Stars (Ihefu) Mecky Mexime amesema hawataingia uwanjani wakiichukulia poa Simba kesho kwenye mchezo wao wa ligi kuu Tanzania bara kwani ni mmoja timu bora ambayo kupata matokeo mabaya kwao ni kama ajali.

 

"Kesho alama tatu ndiyo tunazitaka, Simba ni timu kubwa matokeo mabaya kwao ni ajali kazini, timu inayopata matokeo mabaya sio mbovu hiyo ni ajali tu, hawakuamka vibaya" alisema Mecky Mexime.

 

Ihefu wataikaribisha Simba kwenye uwanja wa Liti kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara utakaochezwa kesho jioni mjini Singida.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet