pmbet

Simba kulipa kisasi ch CAFCC kwa Berkane kwenye CAFCL

Sisti Herman

October 28, 2026
Share :

 

Vinara wa Ligi Kuu Bara, timu ya Simba imepangwa Kundi C lenye timu za RS Berkane ya Morocco, Orlando Pirates ya Afrika Kusini na Spotive Colombe ya Cameroon.

Michezo ya kundi hilo itakutanisha mchezo wa Simba na RS Berkane ambao ulikutanisha timu hizo Mwaka 2025 katika mchezo wa Fainali ya Shirikisho na Berkane wakatwaa kikombe hicho.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet