Simba kumnasa Lameck Lawi
Sisti Herman
May 10, 2024
Share :
Taarifa kutoka vyanzo ndani ya klabu ya Simba zinabainisha kuwa klabu ya Simba ipo kwenye hatua za mwisho kunasa saini ya beki wa kati wa Coastal Union Lameck Lawi.
Lawi ambaye nui mchezaji bora chipukizi wa ligi kuu Tanzania bara msimu uliopita amekuwa na kiwango bora sana msimu huu akiwa na Mangushi huku wakiwa moja kati ya timu 5 bora zilizoruhusu kufungwa mabao machache zaidi msimu huu.
Je Lawi ni chaguo sahihi kwa Simba?