pmbet

Simba kumsajili kipa aliyemuweka Onana wa Man Utd Benchi Cameroon

Sisti Herman

April 16, 2024
Share :

Kwa mujibu wa mwandishi wa habari za michezo hasa za usajili kutoka nchini Ghana Nuhu Adams, klabu ya Simba ya Tanzania ina nia ya kumsajili kipa wa timu ya Taifa ya Cameroon Fabrice Ondoa.

Ondoa ambaye alianza mechi 3 kati ya 4 za AFCON 2023 mbele ya kipa wa klabu ya Manchester United Andre Onana kwasasa anacheza klabu ya Nimes Olympique ya ligi daraja la pili nchini Ufaransa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet