Simba kumtoa Kennedy kwa Mkopo kwenda Coastal Union
Sisti Herman
June 4, 2024
Share :
Wagosi wa Kaya, Coastal Union wameanza hesabu za kumnasa beki wa Simba, Kennedy Juma kwa mkataba wa mkopo wa mwaka mmoja.
Hatua ya Coastal inatokana na kuondokewa na beki wa kikosi hicho, Lameck Lawi ambaye tayari msimu ujao atajiunga na Simba baada ya kufikia makubalino baina ya timu hizo na kusainishwa kandarasi ya miaka miwili.