Simba kumuachia Inonga kwa timu itakayofika DAU!
Eric Buyanza
May 17, 2024
Share :
Taarifa zinasema uongozi wa Klabu ya Simba SC umemwambia mlinzi wao wa kati Hennock Inonga apeleke ofa ya timu inayomuhitaji ili wafungue nao mazungumzo kuelekea dirisha kubwa la Usajili.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo uongozi upo tayari kumuachia kama timu inayomuhitaji itafika DAU wanalolihitaji.
Kwasasa Inonga hana maelewano mazuri na uongozi wa klabu yake