Simba kushirikiana na TRA kuhimiza ulipaji wa kodi
Sisti Herman
April 24, 2025
Share :
Klabu ya Simba imetangaza rasmi kuingia kwenye ushirika na Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kuelekea mchezo wa pili wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya klabu ya Stellenbosch ya Afrika kusini.
"Kodi yetu, ushindi wetu, tulipe koi kwa maendeleo ya michezo ya Taifa" ilisema sehemu ya Taarifa ya Simba.
Simba wapo nchini Afrika kusini kwaajili ya mchezo huo.