Simba kwenye mazungumzo na beki wa FC Lupopo, Valentin Nouma
Eric Buyanza
June 17, 2024
Share :
Usajili Klabu ya Simba imetajwa kufanya mazungumzo na beki wa FC Lupopo, Valentin Nouma raia wa Burkina Faso kwa lengo la kutaka huduma yake.
Beki huyo wa kushoto anatajwa kama mbadala wa Joyce Lomalisa aliyekuwa akipigiwa hesabu.
Kabla ya kucheza Lupopo Valentin alishakipiga Rahim FC na AS Douanes za Burkina Faso.