Simba na Dodoma Jiji kukutana tena FA.
Joyce Shedrack
March 9, 2026
Share :
Baada ya kukamilika kwa michezo ya hatua ya 32 bora ya michuano ya kombe la shirikisho la CRDB Bank siku ya jana hii hapa ni mechezo ya timu zilizofuzu kucheza hatua ya 16 bora kuzisaka tmu nane za kufuzu robo fainali ya michuano hiyo.
Yanga Sc vs TMA Stars
Simba Sc vs Dodoma Jiji
Singida BS vs Mbeya City
Azam Fc vs Fountain Gate
Namungo vs TRA Utd
Coastal Union vs Pamba Jiji
JKT Tanzania vs Mbuni Fc
Geita Gold vs Mashujaa Fc





