pmbet

Simba na Yanga hazifungiki Ligi Kuu.

Sisti Herman

September 17, 2026
Share :

 

Baada ya Ligi kuu Tanzania kufikisha raundi ya 6, hadi sasa ni timu 2 pekee hazijapoteza mchezo kwenye ligi msimu huu, timu hizo ni Simba SC na Yanga SC.

Timu hizo zitakutana Oktoba 10 kwenye mchezo wa ligi baada ya mechi ya timu za taifa za kalenda ya FIFA kuisha.

Je nani ataendeleza rekodi ya kutopoteza mchezo msimu huu?

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet