pmbet

Simba na Yanga kupambana na hawa Mapinduzi Cup

Eric Buyanza

December 11, 2023
Share :

Hizi hapa Timu 12 zitakazoshiriki Mapinduzi Cup 2024 Visiwani Zanzibar:-
 

1. Mlandege FC - Zanzibar
2. Singida Fountain Gate - Tanzania
3. Vital'O FC - Burundi
4. Simba SC - Tanzania
5. Yanga SC - Tanzania
6. APR FC - Rwanda
7. Azam FC - Tanzania
8. URA FC - Uganda
9. Bandari FC - Kenya
10. KVZ FC- Zanzibar
11. Chipukizi FC - Zanzibar
12. Jamhuri SC - Zanzibar
 

Mapinduzi Cup itaanza kutimua vumbi Januari 2024 katika Uwanja wa Amaan Visiwani Zanzibar.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet