Simba na Yanga zinakimbizana huko CAF Simba namba 11 Yanga namba 12.
Joyce Shedrack
August 6, 2026
Share :
Shirikisho la Soka Afrika CAF limetoa viwango vya vilabu Afrika kuelekea michuano ya CAF kwa msimu ujao wa 2026/2027.

Timu za Tanzania Simba wapo nafasi ya 11 wakiwa na alama 38, Yanga nafasi ya 12 na alama 35, Azam wapo nafasi ya 39 na alama 5 wakati Singida Black Stars wakiwa nafasi ya 58 na alama 2.5.





