Simba Queens imefunga mengi, imefungwa machache WPL
Sisti Herman
April 14, 2026
Share :

Simba Queens na JKT Queens ndio Timu zilizoruhusu Mabao Machache zaidi Mpaka sasa Mabao 2
Simba Queens 2
JKT Queens 3
Yanga Princess 11
Alliance Girls 11
Tausi FC 14
Fountain Princess 16
Ceasiaa Queens 16
Bunda Queens 16
Mashujaa Queens 18
Ruangwa Queens 26
Geita Queens 29
Bilo FC 31
Katika Michezo Yote 13 Simba Queens ndio Timu Pekee ambayo Haijapoteza Mchezo wowote Mpaka sasa.
4-0 Bilo FC (H)
3-0 Bunda Queens (H)
3-0 Fountain Princess (A)
1-0 Ceasiaa Queens (A)
2-0 Yanga Princess (A)
1-0 Ruangwa Queens (A)
1-1 JKT Queens (H)
3-0 Tausi FC (H)
2-1 Mashujaa Queens (A)
1-0 Alliance Girls (A)
4-0 Geita Queens (H)
5-0 Bilo FC (A)
3-0 Bunda Queens (A)





