pmbet

Simba Queens kukabidhiwa kombe lao la ligi Ijumaa KMC Complex.

Joyce Shedrack

June 10, 2026
Share :

Klabu ya Wanawake ya Simba,Simba Queens itakabidhiwa Kombe lao la ubingwa wa ligi siku ya Ijumaa tarehe 12 kwenye mchezo dhidi ya Alliance utakaochezwa katika Uwanja wa KMC Complex.

Simba Queens wlitangazwa rasmi kuwa Mabingwa wa ligi kuu ya Wanawake May 31 baada ya kuvuna alama 3 dhidi ya Mashujaa Queens kufuatia ushindi wa mabao 5-2 na kufikisha alama 56 ambazo hazitafikiwa na timu yoyote.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet