pmbet

Simba Queens yaendelea kushusha mashine za kazi.

Joyce Shedrack

July 28, 2026
Share :

Klabu ya Simba Queens imemtambulisha mchezaji wake mpya raia wa DR Congo 🇨🇩 , Kusamfula Rida kutokea klabu ya CSF Bikira ya nchini Congo.

Kusamfula ataitumikia klabu ya Simba Queens kuanzia michuano ya klabu Bingwa Wanawake ukanda wa Cecafa kule Rwanda.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet