pmbet

Simba Queens yamnasa nahodha wa Baobab Queens

Sisti Herman

July 31, 2024
Share :

Klabu ya Simba Queens imemtambulisha rasmi aliyekuwa nahodha wa Baobab Queens Josephine Julius "Ninja" kuwa mchezaji wao mpya kuanzia msimu ujao wa mashindano.

Josephine ambaye amekuwa akitumikia timu za Taifa za vijana kuanzia under 17 hadi under 20, anaungana sajili zingine mpya za Simba kama Precious Christopher, Wincate Kaari, Mary Saiki, Amina Ally Bilal na Emiliana Mdimu ambao waliwahi kuwa wachezaji wa Yanga.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet